Recent content by Kijastibikoz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama

    Unaweza kunipatia namba yako ya simu??
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu ya Samaki (Perege) na Kambale

    Sorry, unaweza kunisaidia mawasiliano yao ya simu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu ya Samaki (Perege) na Kambale

    Wanauzwaje pale mbegani?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu ya Samaki (Perege) na Kambale

    Wanauzaje pale?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu ya Samaki (Perege) na Kambale

    Nipo Dar, nahitaji mbegu kwa ajili ya kufuga samaki, natafuta mbegu ya samaki na kambale, nitawapata wapi na ni bei gani?? Nisaidieni wadau
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na Ualimu

    Nimemaliza kidato cha nne, nina C-History,B-Kiswahili na D tatu za masomo megine, nilipata kwa double seating, nahitaji kujiunga na chuo cha mafunzo ya ualimu, je naweza kupata vyuo vya serikali kwa ngazi ya Certificate au kama wadau kuna chuo cha private ambacho naweza kupata kujiunga naombeni...
Back
Top Bottom