Recent content by kijanamgumu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Kwenye attachment ya chini (Export Certificate) Chassis/VIN No. haionekani. Inaweza ikawa ni documents mbili za gari mbili tofauti.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Unataka kutuaminisha kwamba mwenye V8 akiangalia dashboard yake ambayo inasoma 50km/h akipigwa tochi katika mwendo huo, tochi itaonyesha mwendo tofauti na huo?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Hivi mteja anaweza kulipia gharama za TRA na bandari wiki moja kabla meli haijafika (baada ya kupokea documents zake) au mpaka meli ifike na kushusha mizigo?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Radio ya gari (Android radio), brand gani ni bora?

    Mkuu Kali Linux unapatikana wapi kwa DSM?
Back
Top Bottom