Recent content by KijanaHai

  1. KijanaHai

    Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  2. KijanaHai

    SoC04 Serikali ifanye yafuatayo kupunguza kodi umiza kwa wananchi

    Shukrani Sana mkuu nitarekebisha na kuwa makini kwenye maandiko mengine ntakayo wasilisha
  3. KijanaHai

    SoC04 Serikali ifanye yafuatayo kupunguza kodi umiza kwa wananchi

    VYANZO VIPYA VYA MAPATO Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia...
  4. KijanaHai

    SoC04 Hadithi ya kusikitisha na kufurahisha ya vijana wa Tanzania: Kutoka vijana walalamikaji mpaka watatuaji

    Hadithi ya kuhuzunisha Changamoto Za Vijana Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
  5. KijanaHai

    SoC04 Tanzania inahitaji Ilani ya Taifa na si ya vyama vya siasa

    Kweli kabisa ni muhimu kuwa na Sera zinazojibu Ajenda za ILANI ya Taifa ivyo kila Sera ya Taifa inavyokuwa inaboreshwa na ndivyo ambayo sera za nchi zitaboreshwa na itasidia wananchi kujiwekea katika maeneo tajwa wakitambua kuwa hatutakuwa na mabadiliko ya ghafla katika maeneo wanayofanyia KAZI...
  6. KijanaHai

    SoC04 Tanzania inahitaji Ilani ya Taifa na si ya vyama vya siasa

    Ni kweli kabisa hakuna Ajenda unayofanya watanzania kwa pamoja wakahoji serikali inayopewa ridhaa kwasababu kila chama kinakuja na Ilani Yake na mambo Yake wao ni waajiriwa WA wananchi ivyo wao wanapaswa kupewa majukumu ya kufanya na wao watuamie ni njia zipi watatumia kutekeleza majukumu ili...
  7. KijanaHai

    SoC04 Tanzania inahitaji Ilani ya Taifa na si ya vyama vya siasa

    Utangulizi Tanzania inalindwa na katiba kama sheria kuu na kilanja mkuu wa sheria zingine zote zilizopo na zitakazotungwa nchini. Maendeleo ya Tanzania yanaratibiwa na kulindwa na mihimili mitatu Serikali, Bunge na Mahakama lakini yanapangwa, kutungwa kuongozwa na kutekelezwa kwa kufuatwa...
Back
Top Bottom