Foleni za jiji hili zinaletwa na Junctions...mfano Ubungo, Tazara, Mwenge, magomeni etc, hata tukipanua barabara zikawa sitasita haitasaidia kama tutaendelea kutegemea mataa na trafic police kuongoza magari kwenye junctions... we need flyovers kuondoa foleni...unaweza kukaa dk45 unasubiri kuvuka...