Recent content by Kijana wa mtaani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Petro E. Mselewa, kisheria Petro E. Mselewa, Mkuu naomba kufaham sheria inasemaje juu ya hata Je kuna sheria inayomhukumu mwanaume aliyetembea na mke wa MTU? Je kama umebaini kwamba kuna MTU anatembea na mke wako ni utaratibu gani unaotakiwa kuufuata kisheria na uthibitisho gani unaotakiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Upo sawa sana, wanaohubiri kilimo wao wanajipatia kipato kwa kuhubiri, kuzunguka nchi nzima kuhamasisha, pamoja na kutumia mitandao ya kijamii. Ila kiuhalisia hawana experience yyte kwenye utendaji, na huwezi kuta hata Siku moja mkulima anaejua kilimo na mwenye experience nacho akihubiri...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Pole mkuu ila cha msingi usikate tamaa, Dawa ya deni ni kulipa na madeni huwa hafungwi, hapo hakuna namna ya kuongea na jamaa muweze kupata muafaka wa kuextend muda wa kuwalipa. Halafu uanze mapambano upya, kama ni kwenye kilimo sasa ila usiwekeze teNA kiasi kikubwa kabla ya kua na uzoefu...
Back
Top Bottom