Recent content by Kijana wa manda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    Kwann tufanye na isiwe halisi kwamba imeanza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum jinsi ya kupata kazi miradi mikubwa kama Bwawa la Nyerere, Bomba la mafuta, Standard Gauge n.k

    Kusotea mkuu,wanakuaja kuwafata na kuwafanyia interview na wanaoweza wanachukuliwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum jinsi ya kupata kazi miradi mikubwa kama Bwawa la Nyerere, Bomba la mafuta, Standard Gauge n.k

    Inategemea wakuu mfano kwenye mradi wa Rufiji watu mbona wameingia bila kutoa chochote hasa kwa mafundi na mradi unaolipa vizuri sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    Mkuu vipi kwa kipande cha isaka to mwanza naona kimya kimeanza au bado??
  5. K

    JamiiForums Tanzania Technician wa ujenzi nahitaji kazi

    Uko arusha na Kilimanjaro mbona kuna kampuni nyingi za ujenzi ,umejaribu kwenda kuomba kweli??
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli Isaka - Mwanza unaendeleaje?

    U hali gani wapendwa, Mwenye taarifa za kinachoendela kwenye mradi wa reli kuanzia isaka tabora hadi Mwanza maana imepita miezi miwili sasa tangu wasaini mkataba na serikali.
Back
Top Bottom