Recent content by kijana paul

  1. K

    JamiiForums Tanzania utata:

    kwa st joseph fungua account exim bank...huko ndo kila kitu utaekewa..
  2. K

    JamiiForums Tanzania utata:

    nimekupm mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania utata:

    ase muhindi ana masihara na pesaa yake...ukiwa ja pesa utasoma kwa amani...ukiwa na mkopo kidgo inakuaa nafuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania utata:

    yeah workshop zipo na zina vifaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania St. Joseph Collage Of Engineering

    karibuni chuoni wakuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania St. Joseph Collage Of Engineering

    karbuni chuoni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    ada ni sh 3,030,400 kwa engineering...ada hii ni tofaut na waliochaguliwa education...food processing and agriculture engineering....uwezekano wa kupata mkopo upo...ila ata ukipata asilimia mia ni kma umelipiwa 1,500,000 kwhyo chukua difference hapo ndo utakayoongezea....bdo kuna ada za mitihan...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    yeah ni lazima kwa kila mwanachuo...ili mkifika msihangaike
  9. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    kingine cha kuwasaidia..fungueni account exim bank...maana boom,special faculty na kila kitu wanawawekea kupitia account za exim bank
  10. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    hostel zipo kwa wote..ila sio za chuo ni za watu binafsi..japokua kuna hostel ya wasichana inayosimamiwa na masista wa hapo chuoni...ipo kibamba na cjui gharama zake
  11. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na St. Joseph University (undergraduate)

    unapanga kwenye hostel za watu binafsi ambazo ziko around chuo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye Ufahamu St Josepd Dar es Salaam

    price inategemea na chumba unachotaka...zuko kuanzia 40,000...haziko mbali na chuo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye Ufahamu St Josepd Dar es Salaam

    hostel zipo ila sio za chuo...ni za watu binafsi...
Back
Top Bottom