Recent content by Kijana Mpole99

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bar-maid

    Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi) Nishaurini jmn....😟😟
  2. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda

    Ahsante nashukukuru sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda

    Habari Wakubwa, Mimi ni Kijana ambae nimeamua kuanza kujiajiri,nimefanikiwa kupata hela ya kununua bodaboda boxer ambayo nitaendesha mwenyewe. Naombeni ushauri wowote Au namna ya kuendesha business hii (faida,changamoto) Natanguliza shukurani..
Back
Top Bottom