Japo wanangu kuna daktari mmoja ni mstaafu ndie aliwatahiri yupo mbezi juu kituo cha kwa sanya hapo kuna bodaboda wengi waambie kwa baba jesca ukifika hapo uliza yeyote kuna mzee kazi yake ni hiyo baada ya kustaafu onana nae huyu anakuja mpaka kwako anawatahiri huku unaona na atatoa huduma mpaka...
Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu
Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China
Pia ulaji wa umeme ni mdogo sana
Gharama ya machine
1350000 tu nipigie kwa maelezo zaidi 0774150519
Napatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.