Recent content by Kijana 21

  1. Kijana 21

    Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

    Zipo m50 kwenye Bank Acha Dharau kaka, utajuaje kama nmeshinda sportpesa🙄🙄😁
  2. Kijana 21

    Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

    Habari, Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani? Msaada please Ahsanteni.
Back
Top Bottom