Nchi imekuwa ya watu wapumbavu watupu, huyu naye atapandikiza mawazo ya kipumbavu kwa watoto wetu na watamuona wa maana. Alianza Shika, sasa tunaye huyu.
Mimi ni moja ya watu waoga wa kujenga ghorofa, hofu yangu kubwa ni juu ya gharama. Lakini nimekuja kufikiria faida za kujenga ghorofa mfano kuepuka gharama za bati, kwa kujenga ghorofa kiwanja kilichokuwa kijenge nyumba moja basi chaweza kujenga nyumba 10 juu yake. Naomba wazoefu wa ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.