Bank hii na madhumuni yake kama watazingatia itakuwa mkombozi kwa wakulima,lkn kama wakiachiwa wapiga dill waingie hapo na mashamba feki,itakuwa kama bank ya nyumba ilivyofilisika.ushauri kuwepo na mikakati ya dhati ya kuinua kilimo hasa kwa wakulima wa kati nawa chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.