Recent content by Kihava

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

    Ni bora kuishi kwa kupendana na kujaliana hata bila upinzani, kuliko kuwa na wapinzani ambao kila kukicha mara wapigwe risasi, wateswe na wananchi kuuawa na kuwekwa kwenye viroba
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maswali matano kuhusu kikosi kazi cha Rais kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia

    Afadhali aendelee huyu huyu mama. Ni bora kuishi kwa upendo miongoni mwetu hata bila upinzani kuliko kuwa na wapinzani wanaopigwa risasi na na wananchi kuuawa kila kukicha na kuwekwa kwenye viroba.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    Tuchukue kwa mfano nyote mnajua baba wa nyumb hiyo yupo lakini ukasikia kwamba ile nyumba haina baba, kisha mtoa hoja akaeleza sifa stahiki za baba mwenye nyumba, hapo wewe unaelewaje?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia akabidhi magari 123 kwa Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji kwa Shughuli za TASAF

    Mheshimiwa Rais, pamoja na nia yako hiyo njema ya kukabidhi hayo magari kwa taasisi za serikali, najua kwa sehemu kubwa hayo magari yatatumika na viongozi wa taasisi hizo. Naomba uangalie kwa jicho la pekee kwa upande wa UONGOZI wa Taasisi hizi za Serikali na Mashirika ya Umma. Taasisi za...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Yeye ni mwanaCCM, Mbowe ni Chadema. Sasa mambo ya Chadema na Mbowe ni ya nini kwake?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kwani M/kiti wa Taifa wa CCM wamesharuhusu siasa za kwenda kwa wananchi kuwapa hiyo elimu? Wewe Kamanda uliyechoka vipi tena?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    NANI ALIYEMWAMBIA TUPO KUFANYA MAMBO YANAYOMFURAHISHA YEYE? JINGA KABISA HILI LICCM
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Kwa hiyo wewe kinakuuma nini ?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    Usichelewe, wahi seat ya mbele kwenye kuunga juhudi. Jiwe aliiharibu nchi hii
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Hii kesi ikifutwa tutakosa tuyajua mengi sana! Kesi hii imeiumbua serikali kwamba inafanya mambo kienyeji sana! Jeshi la Polisi limeoza. Na wanataka kuambukiza uozo huo kwa JWTZ. Kama isingekuwa akina Mbowe wanateseka sana kiasi cha kunyimwa chakula nilitamani zamu ya kuleta mashahidi wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

    Nani hapo kamuiga mwenzake? Tuanzie hapo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Halafu mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuleta hawa Polisi maana wote wanasema kitu kilekile tu. Ushahidi kwangu uliishia kwa Urio. Hawa wengine ni hear says tu
Back
Top Bottom