Recent content by kigwasu

  1. K

    GE2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    Imeonekana kuna ARI ZAIDI ya kuchakachua demokrasia ya wananchi,NGUVU ZAIDI kama inavyotumiwa sasa na vyombo vya dola,KASI ZAIDI ya wizi na ufisadi.Mwanjelwa Mahakama ipi hiyo wakati ushindi wa Rais haupingwi mahakamani.Watu mitaani washachoka na ubabaishaji ,mtu asikwambie eti upinzani utaleta...
  2. K

    GE2010 UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM

    Huko iringa mjini nasikia siku ya kufunga kampeni walikodi daladala karibu zote za pale mjini pamoja na magari mengine kwa ajili ya kusomba watu toka vijijini kuwapeleka mwembetogwa uwanjani lakini haikuwasaidia mwisho wa yote ni mgombea fulani kulazwa hosipitali.
  3. K

    GE2010 UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM

    hapo umenena
Back
Top Bottom