Jamani, mimi namwonea huruma sana shoga yako. Sisi akina dada mara nyingi huwa tunajisahau tunawajali wenzetu(wachumba, boyfriend) kuliko tunavyojijali sisi wenyewe. Hiyo aibu ni yake huyo bwana kwa kumdanganya yeye kwa kumvisha pete wakati anajua alishafanya kweli huko mbeya. Cha muhimu shoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.