Sababu kwanini haijawekwa picha ya sokwe kwenye NEMBO ya Kigoma, haijadhihirishwa kwasababu SOKWE inawakilishwa na makamanda wetu, Timu yetu ya Mkoa MASHUJAA FC.
Tizama Video
Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024
LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma.
Imeundwa Kwa Gharama ya Tsh 110'000 + 30'000 za usajili. Nembo imeshakabishiwa BRELA kwa ajili ya usajili.
NEMBO...
Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1.
Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi.
Kigoma ina watu makini sana...
DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua.
Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
Muunganiko wa yakini kati yetu na ardhi yetu.
Historia huzaa muunganiko, na muunganiko huzaa uzalendo. Kigoma ndio Tanganyika: Kuwa mzaliwa wa Kigoma ni Heshima na kuwa mtu mwenye asili ya Kigoma ni Neema, yeyote mwenye kuishi Kigoma yupo katika Baraka za mikono mitukufu ya wazee wetu.
Tusione...
Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa.
Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.