In short, ni kua morally, regardless of our genders, wote tumeshuka sana maadili. Sitaki kuchukua sides, ila hao wanawake wa hiyo age group uliyosema, si wanafanya na wanaume, - kwasababu ya materials? Kwa hiyo pande zote ziko corrupt. Tamaa ni kweli zimezidi, lakini kikubwa ni umaskini wa...