Recent content by KIGENE

  1. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kwa Ubadhirifu

    Sasa wanakula na kamba yenyewe.
  2. KIGENE

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza mgao wa Umeme nchi nzima kwa siku nne

    Kwani ulipowachagua walikuhaidi kutolamba asali?.
  3. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

    Ebu elezea na jinsi Mbowe na Mnyika walivyomtoa mahabusu Nusrat Hanje usiku usiku na kumsafirisha toka Singida hadi Dodoma kwenda kuapishwa na Ndungai gereji. Kwa nini unajitoa ufahamu?.
  4. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Kwa sababu wao sio watu,wanaojua haki zao mpaka watembelee mgongo wa watu wengine?.
  5. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

    Mnawasubiri wapinzani wawasaidie kwa sababu ipi,wakati kila siku mnawananga,na kura hamuwapi. Kila mtu atakula alikopeleka mboga. Sio kazi Tanga mshahara Dar.
  6. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Umesahau kwamba Kuna mhimili uliojichimbia zaidi?.
  7. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwatofautisha Zitto na Halima Mdee

    Unaona ni chama gani makini cha kushirikiana nacho kwa mfano?. ACT TLP CUF DP kina Dovutwa Rungwe au nani mjomba?.
  8. KIGENE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

    Hivi yeyote anayemtukana Magufuli ni mfuasi wa Chadema?. Kuna wafuasi wa vyama tofauti tofauti humu,hivi unawatofautishaje?. Kwa sababu hata wafuasi wa CCM sio wote walifurahishwa na Magufuli,kama ambavyo wapo wanaomnanga Samia.
  9. KIGENE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutaingilia Mahakama kuhusu kesi ya Wabunge 19 kupinga kuvuliwa uanachama

    Si kweli,ebu tudhibitishie hizo porojo za kijiweni.
  10. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tundu Lissu juu wabunge 19 waliofukuzwa

    Aongeze sauti hausikii kwa vile yuko mbali au?.
  11. KIGENE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya Nchi Makao Makuu ya Chama

    Hasira za ukewenza,usiombe yakukute.
  12. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Bila baraka zake nani angedhubutu kumfungulia Nusrat Hanje toka mahabusu usiku usiku na kumsafirisha mpaka Dodoma kwenda kumzawadia ubunge.
  13. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Hapo ndipo mwizi aliposahau kufuta nyayo zake mwishowe akanaswa.
  14. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Kwani Ndugai unadhani alijitoa kafara?.
  15. KIGENE

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Mkuu huo ndio ukweli, jamaa ana ajenda ya siri, kila akilala na kuamka anafikiria uteuzi, njaa ni kitu kibaya jamani.
Back
Top Bottom