Recent content by Kigaila Mwandishi

  1. Kigaila Mwandishi

    JamiiForums Tanzania James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha

    Na Mwandishi wetu, Arusha. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Mhe James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha kama mgombea wake anayegombea UNEC hatoshinda. Taarifa kutoka kwenye genge hili la kina James Millya zinasema kuwa kwenye vikao...
  2. Kigaila Mwandishi

    JamiiForums Tanzania Sendeu Laizer acha Siasa za Ukabila

    Mgombea wa nafasi ya MNEC toka mkoa wa Arusha, mfanyabiashara wa madini Ndugu, Gabriel Sendeu baada ya kuona nguvu yake ya fedha haiwezi kumsaidia kushinda nafasi hiyo amechagua kutumia ukabila kutafuta kura kwa wajumbe. Sendeu Laizer siku ya juzi akiwa kwenye kikao na timu yake ikiongozwa na...
Back
Top Bottom