Ni kweli imefika wakati na mengi naye ajibu mwaswali hii NBC Iddi Simba ndio alikuwa akimkingia kifua wakati alipokuwa mwenyekiti, Fisadi ni fisadi tu hata akiwa baba yako tukitambua hilo tutashinda vita hii!
Waasia hawawezi kula peke yao bila ya ushiriki wa wengine kila mtu afichuliwe tuanze...
Unamkumbuka Bob Msagati na mambo ya mchakamchaka wa asubuhi! maparachichi (siagi ya wanyonge), Pimbi wa kilara na mambo ya bye bye coner baada ya prep? mIdas touch nakumbuka ukiruka mangoma bado upo kinondoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.