hata kujenga smellter ni 50/50 hasara ikitokea ni 50/50,kwa wale tuliosoma mambo ya uchumi kuhusu shares unagawiwa faida kutokana na asilmia ya shares ulizo nazo.sasa hili la faida 50/50 kidogo lina ukakasi watufafanulie zaidi inawezekana kuna siasa ndani yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.