Recent content by Kiefer

  1. K

    JamiiForums Tanzania NHIF Kunani

    Habari wadau,no vipi hawa waajir wa nhif maana tulifanya interview mwez April,tukaitwa oral mwezi may,kada zingine waliitwa Larkin kwa secretaries, receptionist, Na drivers no kimya mpaka Leo,tukiuliza tuliofanya interview wote hamna alieitwa Na ukiuliza kwa wanaofanya hapo makao makuu wanasema...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Afisa Mauzo

    Asa km nnagar yangu nakuja kwenu kufanya non?c bora nikodishe hyo gar,pambafuuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Save The Children, jaribu bahari yako

    Kwel halifunguki jaman
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

    Chefuuuuuu,ngoja Nile ndimu mie za Shem chibuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tempo job(Classic promotion)

    Mbona kimya?au ulikua unamuhitaj mmoja?@brazuka
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tempo job(Classic promotion)

    0714497836
  7. K

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

    Hapo sasa mwingine kaambiwa asubur kumwaga wino mwingine anafanyishwa interview kwa the same post,ningependa kujua nani kapata hyo nafasi kwakwel!mwe
  8. K

    JamiiForums Tanzania NHIF Kunani

    Walishaita,ila nafasi hizo nilizotaja ndio kimya mpaka Leo sijui nini kinaendelea maana walofanya interview kwa nafasi hizo wenyewe wanawasiliana Na hamna alieitwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Recruitment agents zimeruhusiwa?

    The thing ni zsisi vijana tunaonyonywa nguvu zetu tuandamane mpaka kwa wazir wa kazi tujue nini hatma yetu,maana hao agents wanachezea maisha yetu,tusome kwa tabu halafu bado tunyonye Na wachache hili halivumiliki,tupange mkakati wa kuhamasishana tuandamane
  10. K

    JamiiForums Tanzania NHIF Kunani

    Tulifanya oral mwez May kada zingine waliitwa kazini lakini drivers, secretary na reception mpaka leo kimya, wadau kwa alie na taarifa sahihi atujuze maana wenyewe twaulizana hatupati majib sahihi.
Back
Top Bottom