Recent content by Kidotulotokordwak

  1. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    ndugu yangu hiz ni zama za digitali vitu vyote vinafanyika hospital,sio lazma niandike kila kitu.zamani ilikua mpaka utembee na mwanamke ndo ujue anazaa au hazai, siku hiz vipimo vipo
  2. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    every human has a brain but not every brain can think. Swami Dayanand. Think
  3. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    kipimo cha utapeli hakipimwi na uzani wa ubongo usibishane na ukweli ukiwa na chembe ya uongo. Think
  4. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    ndoa ndo kwanza itatangazwa kwa mara ya kwanza j.pil ijayo, swala la tarehe sio la kukurupuka coz kamati ndo wanapanga kila kitu na hilo halina shida.kwa sasa namalizia mitiani yangu ya UE, nitapata muda wa kukaa jf na kudirect baadh ya mambo. nakufahamu toka ukiwa AICC ndugu yangu,labda kama...
  5. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    the one who have a test to every sort of knowledge and who is never satisfied is regarded as a philosopher. Carl marx
  6. Kidotulotokordwak

    Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa,

    ok samahan kama nilikuboa ila ni vizur ungenambia kosa ili nisirudie
  7. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    yap nafikiri amepata muda wa kunifuatilia coz anawafaham ndugu jamaa na marafiki wanaoweza kumueleza mimi ni nani? Labda kitu kimoja watu waelewe sijawah kuwa na mwanamke kabla ya kukutana na huyu bibie na hiyo nikutokana na shule nilizosoma, sheria ya kaz ninayofanya(kwa muda fulan hautakuwa...
  8. Kidotulotokordwak

    Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

    ushaur mzur. Kwangu sina tatizo labda kama yeye ndani mwake kutakua na mengine coz huwez kuangalia ndani ya moyo wa mtu. Ila naamini ananipenda kama ninavyompenda hasa kutokana na magumu aliyopitia katika maisha yake
Back
Top Bottom