😂😂😂 Akomae kama kala ndoige
kama kapata akakaze
jamaa cmjui ila 2likuwa nae kene usaili Dodoma
Mimi nlikula ndoige mapema tu zile hatua za mwanzo yeye alibahatika kuendelea mpaka mwisho
Kabisa nilikuaga nackia tu ila now nmejionea kaka sas kulikuwa na maana gani ya ku2kimbiza kama hata ukikidimua ukawa wa kwanza unakatwa jina afu waliokata moto wanaendelea 😂😂😂
2endelee kupambana tu sema haya mambo bila maelekezo ni uongo. Mim nmepga usaili Dom, jina langu halijaitwa sema ni usenge m2 uwanjani unatoa mibio afu kuna akina BIG round 1 wamelala chaliiiii majina yao yapo kene kuendelea 😂😂😂
Hahahaaa
Kaka Dodoma hapa kama unambanga twende wote mtaani pagumu kaka 😂😂😂
Sema how 2naenda CIVE kaka??? Na wenyewe hawajasema direct kuwa itakuwa huko???
Hapa kaka kama kuna ukweli hvi maana mim nimefanyia application Dom, japokuwa nlihangaika kuanzia sa11 jioni mpk sa10 asbh ila ilikubali.
Ila mbanga sina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.