weka bei hapa ndio sokoni kila bidhaa ina bei yake. bei yaweza kumshawishi hata asiye na nia ya kununua akanunua, kwa wenye uelewa wa mambo ya marketing nafikir wananisoma
naweza kukubali kwamba ni vitu viwili tofauti lakini vinafanya kaz inayofanana tofauti ni location vilipowekwa ndugu. naomba pia nikuulize swali dogo tu, kwani kinachoongeza speed ya gari ni injini ya gari au ni gear box? ninavyoelewa gear box inategemea rotation ya injini kaz ya gear ni...
button ya OD mm ninavyoelewa inafanya kaz kwa approach sawa na magari yenye turbo ambapo kwa magar ya turbo huwa yanafungua yenyewe automatically gari inapofikia speed limit flani na na mwendeshaji anahitaji mwendo zaidi hii husave mafuta na speed huongezeka na nguvu pia. ninavyoona tofauti ya...
hii co sehem ya kunadi iman zetu, kila m2 ana imani yake na abaki na imani yake. suala la huyu jamaa wamiujiza yaweza kuwa kweli ni nguvu za MUNGU kwasababu yupo na anatenda miujiza hadi sasa na aweza kutenda kupitia mtu yeyote. kumbuka hata kwenye biblia mfalme daudi alipakwa mafuta na MUNGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.