Recent content by kidiaba

  1. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huwezi jua kila kitu...maelezo mbona yapo wazi kabisa kwa anae tumia old version anajua akiingia kwenye football then inamletea nchi afu league ndo zile option zinatokea na mie pale ndo nilitoa mfano kwakutumia England na premier...kama we unaingia tu kwenye football today nakubet huwezi elewa...
  2. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Premier league na sio premier betting nadhani hii option hujawahi itumia ndomana hatuelewani.
  3. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    yaah naongelea meridian kama unatumia PC via old version.
  4. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hujanielewa mf.ukitaka kubet premier kwa kesho mechi zikiwa kwenye siku yenyewe hupati ile link pale juu ambapo utaselect tu draw no bet inakuletea GG na NG then unakuwa unaclick tu hapa network haihusiki,ukienda kwenye nchi Football then ukaselect Nchi England halafu ukaselect premier hizi...
  5. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mie meridian huwa ninabet kwakutumia old version tatizo mechi za siku husika(today) haitoi option ya moja kwa moja kama GG,draw no Bet nk ukiacha ile other bets ambayo inachukua sana muda kufunguka.. ukiende kwenye ligi husika inakupa hii option.Je kuna option yoyote kwenye football today...
  6. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ha ha ha ha ha ha ametisha
  7. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau leo mi naona kama Wenger anakufa ivi.
Back
Top Bottom