Recent content by Kidamli

  1. Kidamli

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    kwamba zigo lina turbo aiseeee😂😂
  2. Kidamli

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    nunua Japanese bikes enjoy confort, performance and impeccable reliability... hasa nunua HONDA /YAMAHA. kama ni addict wa mituku jichange uchukue BMW from Germany au DUCATI MUSTRANDA ya italy.
  3. Kidamli

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    sinoray yanauzwa 3.8 mil lakini performance yake ni nzuri when cold, liki chemka speed yake inapoa unalipita kama mti, na likianza kudai spare utakubali mwenyewe afu baada ya miaka 2 linakuwa kama limepigwa bomu
  4. Kidamli

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    Kaka ume compare na cheap dudes, compare na mi hilux, prado huko iyo pesa ni million 80
  5. Kidamli

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    BMW R1200GS or R1200gsa ni pikipiki ya kipekee sana. ⬛️FUEL INJECTION SYSTEM ⬛️SHAFT DRIVEN ⬛️LIQUID COOLED gs ni ufipisho wa maneno ya German maana yake OFFROAD/ROAD inapiga nje ndani. GSA ni ufipisho pia offroad and road adventure.. Masafa marefu nje ndani. Ina Horsepower 125hp Torque...
  6. Kidamli

    Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    Wanazi wa Tuktuk nimejaribu kufuatilia nimegundua pikipiki inayotumia... 👉FUEL INJECTION 👉SHAFT DRIVE 👉LIQUID COOLANT zinafaa kwa safari ndefu.. Nikabaini 2000-2021 HONDA XR650R zina sifa ya liquid coolant na speed zaidi ya 160 km/ h ikiwa na horsepower 64 Nikabaini YAMAHA tenere 700 ina...
  7. Kidamli

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Iyo engine ya bighorn ni nzuri kuliko 1kz ndugu
  8. Kidamli

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Hajatokea kabisa... Katunga story 😂
  9. Kidamli

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Bwana mkubwa njoo pm unipe iyo gari endapo tu ina engine code UBS73 4jx1 ila kama ni UBS69 4JG2 hapana. [emoji107]
  10. Kidamli

    Naomba ufafanuzi kuhusu Gari aina ya Isuzu Bighoun

    model hii hainaga shida sana ukizingatia service.. Model kuanzia 1998 zina 4jx1 uwe na akili timamu na mda kifanya i move on
Back
Top Bottom