CCM pesa inazito kutoka hazina ya serikali onayo endeshwa kwa kodi za wananchi na pesa zingine zinatoka kwenye miradi ambayo CCM imejimilikisha kutoka kwa serikali kama viwanja vya mipira na fremu za maduka ambayo vilikuwa mali ya wananchi enzi za chama kimoja, hivyo baada ya ujio wa vyama vingi...
Watu wengi wa CCM vichwani hawana akili kabisa ndio maana uwezo wao huwa ni ku deal na vitu vidogo vidogo ambavyo havina maana na hiyo ndio kazi kubwa ya wajinga
Kuna mwizi hatari zaid ya yule anaye kwapua pesa hazina na kuhonga chawa wake kwa mgongo urais na mwenyekiti wa chama.?
Hii hoja muone hata aibu kuisimamia mana kama ni wizi wa pesa za wananchi kwa maslahi ya CCM ndiyo maisha halisi ya CCM ,imejimilijisha mali za nchi na kutaifisha kuziita za...
Bora hawa wanao kusanya kutoka kwa wananchi kwa kusema na kwa uwazi kuliko wale wa CCM walio jimilikisha mali za umma na wana jichotea kodi za walalahoi hazina na kwenda kununulia mabasi na kuhongana kukatiana viuno DODOMA.
Hata tshekedi aliamini hivyo hivyo kama unavyo amini wewe kwamba serikali ni lidude likuuubwa halitishwi wala kutishika lakini mwisho wa siku akajua kumbe kuna serikali kikundi chake na kuna wananchi wenye nchi na ndiko tunako pelekwa sasa hivi
Ubunge unyama sana na una maposho na marupu rupu mengi na ana nafasi pia ya kuukwaa unaibu au uwaziri kabisa , ukuu wa mkoa ni uchawa na anacho faidi mkuu wa mkoa ni kuweka wenzie ndan kwa saa 24 na kupigiwa saluti na maaskari tu. Ila hakuna lolote huko kwenye ukuu wa mkoa zaidi ya kulewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.