Recent content by kichomvi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo ya gari

    Asante sana mkuu,nimeshakufuata PM
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo ya gari

    Mkuu mimi engine yangu ni 1mz V6,nimeambiwa sensor zilizopo kwenye hicho kifaa zimekufa,nipo tabora naomba msaada wako ni wapi naweza pata ufumbuzi wa tatizo hili.....ASANYE
  3. K

    JamiiForums Tanzania DIAGNOSTIC CODES

    Asante sana mkuu wa ushauri wako,nitaufanyia kazi
  4. K

    JamiiForums Tanzania DIAGNOSTIC CODES

    Habar ya jioni jf members,leo nimefanya diagnostic ya gari yangu na majibu ilikuwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha,naomba mwenye uzoefu anipe ushauri wa nini cha kufanya ili niweze kuondokana na tatizo hili maana gari imeanza kukosa nguvu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gear kwenye Harrier 3.0L

    Samhani mkuu...naomba namba yako kuna kitu nataka nikuulize kuhusu harrier
Back
Top Bottom