Recent content by kichogops

  1. K

    JamiiForums Tanzania HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

    It hurts kwa kwel, can u imagine tena bila hata aibu, eti sh 77,100 ndio mkopo kwa mwanafunzi wa chuo kwa mwaka mzima. Tena mtu mwenye digrii yake aliyeaminiwa kwa niaba ya watanzania anaweka saini eti ndio mkopo aliopata mwanachuo Nadhani ile nguvu iliyotumika kulaani matukio ya mwalimu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

    Najaribu kufanya hesabu hii rahisi, lakini inashindwa kuingia akilini Gharama za kuomba Mkopo; Application 30,000 Internet 2000 Passport 5000 Mahakamani 20,000 Ofisi ya Kijiji 10,000 Printing 5000 Bodaboda 2000 Ems 13100 Jumla 87,100 Mkopo 77,100 Heslb hebu kuweni na huruma japo kidogo kwa...
Back
Top Bottom