Recent content by Kicheche mkali

  1. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🔥 KELVIN HK: CLIENTS KUNUNUA MATERIAL WENYEWE KWA HOFU YA KUIBIWA — HII MBINU IMEPIGWA NA WAKATI! Kuna jambo ambalo nimekuwa nikiliona kwenye ujenzi mara kwa mara. Mteja anamwambia fundi: Kwa mtazamo wa haraka unaona kama umepata suluhisho la wizi. Lakini kama Building Master...
  2. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    UNAJENGA KICHUMBA KUKIMBIA KODI... AU UNAJENGA NYUMBA YAKO? Watu wengi leo wanaambiwa: "Usilipe kodi, jenga hata kichumba kimoja uhamie." Ushauri huu si mbaya kwa nia yake. Tatizo linakuja pale mtu anapojenga kichumba kimoja bila mpango wa nyumba nzima anachagua kona ya kiwanja, anajenga...
  3. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?

    🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja. Kwa nini...
  4. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Shilingi Milioni 30 taslimu ukiwa una Uwanja ukikomaa huwezi Kujenga nyumba yako ndogo tu nzuri ya vyumba vitatu na iliyokamilika kila kitu?

    Chief hii hapana sio kweli! Nyumba ya 3bedroom uijenge Kwa million 15 na rough uweke??? Na choo kiwepo??? Tofari unanunua Tsh ngapi? Mchanga unanunua Tsh ngapi? Kokoto unanunua Tsh ngapi? Nondo unanunua Tsh ngapi? Cement unanunua Tsh ngapi? Grill unanunua Tsh ngapi? Mbao za kupaulia...
  5. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja. Kwa nini...
  6. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Shilingi Milioni 30 taslimu ukiwa una Uwanja ukikomaa huwezi Kujenga nyumba yako ndogo tu nzuri ya vyumba vitatu na iliyokamilika kila kitu?

    🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja. Kwa nini...
  7. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Shilingi Milioni 30 taslimu ukiwa una Uwanja ukikomaa huwezi Kujenga nyumba yako ndogo tu nzuri ya vyumba vitatu na iliyokamilika kila kitu?

    Kwa mikoa ya Dsm, Tanga, Dodoma, Morogoro, mbeya na Iringa Kwa million 30 nyumba inajengwa na inaisha na unahamia kabisa.....ila itakosa Aluminium peke yake! Gharama kubwa ya nyumba ipo kwenye UPAUAJI, TILES INSTALLATION NA ALUMINIUM WINDOW kama maeneo haya hakutakuwa na mbwembwe za kidoni...
  8. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🚨 CHOO CHA KISASA CHA MASHIMO MAWILI — KINAWEZA KUKUPUNGUZIA GHARAMA ZA MATENGENEZO! Je, umechoka na choo cha kawaida kinachojaza shimo haraka? Mfumo wa mashimo mawili unatenganisha kazi: 🔹 Shimo la kwanza hupokea taka na kufanya sehemu kubwa ya uchujaji/mtengano wa taka. 🔹 Shimo la pili...
  9. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🚨 KELVIN HK: UNAFAHAMU CEMENT INATUMIKAJE KWENYE MRADI WAKO? Ukiambiwa nyumba yako itahitaji mifuko 500 ya cement, uliza Kwa matumizi Yapi na sehemu ipi: 👉 Mifuko hiyo itaenda wapi? Foundation? Columns? Lintels? Blockwork? Plaster? Floor? Tiles? Au sehemu nyingine? Cement haipangwi kwa...
  10. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    Jarida hili hapa 👇👇👇👇 lipo Kwenye mfumo wa PDF
  11. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🏗️ UJENZI WAKO USIWE WA KUBAHATISHA! Tumeandaa MJENGO TODAY — TOLEO LA KWANZA 📖 Jarida maalum kwa kila mtu anayepanga kujenga, kununua nyumba, kufanya renovation au kujifunza zaidi kuhusu ujenzi. Ndani yake tumegusa mambo ambayo yanaweza kukuokolea muda, pesa na makosa makubwa kwenye site...
  12. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Usianze ujenzi kama hujafahamu haya machache

    🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO! Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu. Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa. Walls zinaisha… wanatafuta tena. Roofing… tena wanatafuta pesa Plaster, milango, madirisha...
  13. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO! Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu. Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa. Walls zinaisha… wanatafuta tena. Roofing… tena wanatafuta pesa Plaster, milango, madirisha...
  14. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga

    Wewe kwani nani wa kuamrisha vyombo vya Dola kumkamata Afande sele......Tuliza komwe sindano ikuingie! Na hapa Kuna mawili Wewe ni shoga au unawatumia mashoga So umekasirika Wamekutaja au wametajwa washirika wako wa ushoga! Period!
  15. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    Kuhusu urefu wa mnara wa tank la maji: Hakuna urefu mmoja unaoweza kuitwa standard kwa kila nyumba. Urefu sahihi wa mnara huamuliwa kulingana na mahitaji ya mfumo wa maji, hususan pressure inayohitajika, idadi ya ghorofa, kiwango cha sehemu za matumizi ya maji, ukubwa wa tank na mfumo wa...
Back
Top Bottom