Recent content by kichaka1

  1. K

    JamiiForums Tahadhari kwa wanaotafuta Ajira (Soma Tafadhali)

    Kuna watu wameibuka wakidai ni waajiri wanapigia watu simu wakiwa kwenye sauti za kuigiza, barua za kuita watu kazini na mikataba ya kazi, kwa mujibu wa vyombo vya habari jana wameibiwa watu wengi huko mgodini kwa madai ya kutoa lunch ili kuitwa interview. namba za simu na nafasi wanazoomba watu...
  2. K

    JamiiForums Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    kutokana na hoja Dr. slaa rudisha fedha ya chama by Tuntemente you can not trust a white man even if he is dead. sasa ya haya ya Mwafrika Daima ni mazito zaidi. president robert mugabe is very right in his quatation not to trust whiteman even if he is dead. after all that mayor and that mjita...
  3. K

    JamiiForums Chris Lukosi wa CHADEMA VS Suzan Mzee wa CCM...

    kwanza kabisa janga linalosumbua taifa kuliko majanga yote ni ukoloni mambo leo na ndilo suala lililomfanya malecela aliie mpaka leo matatizo ya watanzania yatatatuliwa na watanzaania wenyewe na siyo watanzania wanaolipa ko di nchi za kigeni wala makaburu kwa kuwa chama kimefata wakoloni ulaya...
  4. K

    JamiiForums Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

    Kwanza nampa big up sana rukia kwa kutupa mchango huo, chama kinachoweka bendera yake rangi nyekundu, na kutuambia eti tulimwaga damu, chama kinacho hamasisha vita si chama, ni kundi flani linalo tumiwa na wazungu kuondoa umoja wetu. Hawana jipya la kuwaambia watanzania, hivyo kutokuwa na sera...
Back
Top Bottom