Hivi huyu musa ni nduguye na Alex ? kwani miaka ya 2009 kulikuwepo mjinga mwingine hapo aliyekuwa akinyanyasa wanachuo kwenye maswala ya mikopo. Huyo mjinga aliitwa Alex. Ni vema kama alifukuzwa na huyu Musa afukuzwe kwani wanadhalilisha hicho chuo na uongozi wa Kanisa kwa Ujumla wake.
huyu alitumwa na wenzake. kwani hamkuona na kusikia mkaa hapa akipoteza mwelekeo na kuanza kuichambua familia ya mwalimu? kama kuna mwenye hekima miongoni mwa hao mafisadi atamkemea huyu mbunge. amefedhehesha vijana wa ccm. aombe radhi taifa hadharani na sio kwenye vikao vyao vya ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.