kama uchaguzi ulikua na kasoro kwa nini cuf muogope kurudia uchaguzi wakati tume yenu ni huru.
Jecha tunaitaka amani yetu wape cuf haki yao: Ingawa kasoro zilikuwepo na huwa hazikosekani kwenye chaguzi zetu.
SWALI KWA Mh: Lowasa.
Kama MONDULI haina
Lami hata kidogo
Benki hakuna
Maji
Kuna njaa kwa taarifa za sasa,
hakuna ajira na usafiri ni wa shida.
Je ataiweza kuibadilisha Tanzania
Mokongoro Mahanga, karibu chaedema lakini usitegemee uongozi kwa sababu wewe ni mchafu ssana. mimi binafsi nakumbuka ulitcho tufanyia 2010 UKONGA. Huku mambo safi kwa watu safi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.