Recent content by kibokoyamabishoo

  1. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Kuhusu mashamba ondoa shaka mkuu yapo ya kutosha tu
  2. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Mbegu zakutosha heka moja ni kg 300
  3. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Mkoa wa manyara wilaya mbulu kunasehemu inaitwa Bashay ndiko wanakolima na msimu mzuli wa kulima ni kuanzia mwezi 2 had 4
  4. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Unajua ukitaka kulima tarajia mambo haya matatu 1.kunafaida 2.kunahasara na 3.Kuna kurudisha pesa ya galama zako tu Ukiweza kuzingatia mambo hayo matatu mkuu kilimo hakitakutesa sana
  5. kibokoyamabishoo

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Tayari makala yangu ipo kwe kurasa ya STORY OF CHANGE kwa kichwa cha andiko WAKUU TUINUANE KIUCHUMI". Naomba kura zenu tafadhali. Coment. like [emoji120][emoji120]
  6. kibokoyamabishoo

    Njooni tuinuane kiuchumi

    Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mimi ninauzoefu wa miaka 9 sasa wakulima na kupeleka sokoni kilimo cha vitunguu swaum ni kilimo cha mda mfupi toka kupanda hadi kuvuna ni...
  7. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Mm ndio nafanya mkuu ninaozoefu wa kutosha namiaka9 sasa ndo kazi yangu kubwa nalima mkoa wa manyara na kwa mwaka huwa inalimwa mara1 kwa sababu ya changamoto ya hali ya hewa
  8. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Shukrani mkuu[emoji120]
  9. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Mm ndio nafanya mkuu ninaozoefu wa kutosha namiaka9 sasa ndo kazi yangu kubwa nalima mkoa wa manyara na kwa mwaka huwa inalimwa mara1 kwa sababu ya changamoto ya hali ya hewa
  10. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Hata bila Dalali inawezekana mkuu
  11. kibokoyamabishoo

    Wadau njoo tuinuane kiuchumi

    Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mm nauzoefu wa mika9 sasa wakulima na kupeleka sokoni kilimo cha vitunguu swaum ni kilimo cha mda mfupi toka kupanda hadi kuvuna ni miezi4...
  12. kibokoyamabishoo

    Wauza smartphone tukutane hapa

    iPhone 7 Plus 128 Gb Rose gold Clean condition 900k price Call 0782688865
  13. kibokoyamabishoo

    Mchumba anahitajika

    Jf wasomi nawalim niwengi kuliko sisi vilaza Jukwaa la sisi vilaza lipo wapi?
  14. kibokoyamabishoo

    Mchumba anahitajika

    Huenda mkuu upo sahihi
  15. kibokoyamabishoo

    Mchumba anahitajika

    Ah! Nilisahau kuwa elim yang ni yadarasa la7
Back
Top Bottom