Recent content by kiboko1977

  1. kiboko1977

    Tazama picha ya aliyekua mpenzi wa mhusika wa mauaji ya ilala ,jijini dar

    Jamani muwe na mawazo ya kibinadamu msichangie mawazo ya kebehi au kejeli kama msiba wetu wote vijana hatujui hatma yetu muwe na hoja sio mnakurupuka tuu.....
  2. kiboko1977

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    nimeamini maneno ya muheshima kikwete na sitompinga tena.
  3. kiboko1977

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    http://www.v2catholic.com panitia mashaka mpo mpaka kwa wafungwa wa madawa jamani kuna jambo hapa nyuma ya pazia tumewastukiaa
  4. kiboko1977

    Tamko la umoja wa wanazuoni wa kiislam Tanzania kuhusu tukio la Sheikh Ponda

    ukimfuatilia utakuta mchadema huyo ndio wanaojiona wenye dini ya ukweli haoo hawajui watendaloo
  5. kiboko1977

    Tamko la umoja wa wanazuoni wa kiislam Tanzania kuhusu tukio la Sheikh Ponda

    ukitaka kumuelekeza mtu uwe na adabu unaonaje tukisema mnafiki babako je itakuuma amaa?uwe na adabu ww juha usojua kupima maneno yako
  6. kiboko1977

    Rwanda, Kenya & Uganda Kujenga Reli ya Mombasa-Kampala-Kigali kwa $13bn/-!

    ushauri kutoka kwangu mm kama uanendendelea kumfuatilia huyu p magesa mpaka kwenye mablogu bila ya hoja hapa forum bs ww una chuki binafsi peleka uchadema wako mbele hukOooo leta hoja au mada ya kueleweka.acha uchadema wako tumewastukia mshaiba vya kutoshaa hamtoshekiii
  7. kiboko1977

    Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Kama kweli nyinyi wakweli basi rusheni hiyo video youtube ili wananchi na dunia nzima waone acheni zuga nyinyi tumewastukiaa hamna lolote nyinyi wazushii na wauwaji wakubwa wa wanachama wenu tushawastukiaa!!
  8. kiboko1977

    Waarabu wana nguvu Iringa

    Kwa hiyo mnatuambia watu wa moshi ni wajanja sana sio...hahahahahaha ama kweli mkiambiwa watu wa moshi ni wakabila na wadini msibisheee mnajisuta wenyewe wazee wa.....
  9. kiboko1977

    Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

    Wewe mkuu unaonekana una chuki binafsi na rais kikwete hv usijifanye huna sababu ya msingi hayo mambo ya pipi ni vitu vya kawaida kwa m2 yeyote yule!
Back
Top Bottom