WEWE mfamaji HEBU ACHA KUTUZINGUA AKAMATWE KWA MISINGI GANI? HEBU NIPE MAELEZO KAMILI ,MNASHINDWA KUWAKAMATA WEZI WA MALI ZA SERIKALI MNASEMA AKAMATWE MTU MPIGANAJI MAARUFU WA MALI ZA UMA HEBU REKEBISHA MAONGEZI YAKO HUNA SELA WEWE
Mimi nadhani itakuwa haina maana kama mtamshitaki Masha na Membe akaachwa na wakati yeye nae alishiriki katika dili hili kipindi wakati ni Naibu Wazir , Kwanini hili swala limenyamaziwa kimia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.