Kwa mwanamke changamoto zipo nyingi...wateja wako wote wanaume...wote mashabiki wa mpira au games...inabidi uwe mpenzi wa mpira au games au vyote.. Unatakiwa ujue games wazipendazo na uziweke available, uwe na diploma ya babysitting maana vitoto kama vyote.. Ukiona mambo mengi weka kijana ingawa...
Kweli..Ps hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania...watz weng wanafungua akaunt kwa kutumia nchi kama South Afrika n.k ila kwa mie for the sake of having access to services ambazo ni exclusive to 18 countries...nimeopen akaunt ya psn ya Marekan, UK na Canada
Fifa 22 nimenunua kutoka psn store kwa laki na nusu..nkatumia bando la 20k kudownload...pes 22 nimeikuta kwenye ps 3 ishawekwa ila wateja wakitaka pes 22 kwa ps 4 ntawawekea maana ni free kudownload...padi og za mtumba nimenunua kwa laki na 60 padi mbili..nataka nione zitakaa sana kuliko za...
Yeah..nimeanza na wateja watano siku ya kwanza...just imagine..halafu ni uswaz vitoto kama vyote...nataka ikikaribia likizo niwaongezee ps 4 na tv kubwa ya inch 43 maana najua watajaa balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.