Recent content by kibheri

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mapenz siti moja ndani ya basi

    kumbe ni sifa?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumsemea mpenzi wako kwa mama yake?

    mama alikua anamjua kama rafiki yangu wa kawaida tu,ila imetokea wakawa wanapigiana simu mara kwa mara kujuliana hali..sasa nashindwa kuelewa imekuaje mpaka kesi za mapenzi ye2 zinapelekwa kwa mzazi wangu.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumsemea mpenzi wako kwa mama yake?

    ni girlfriend tu..me nina 25 yeye ana 23.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumsemea mpenzi wako kwa mama yake?

    Mnapokuwa katika mahusiano na mtu ambaye ni mpenzi wako. Inapotokea umekosea ni sahihi mpenzi wako huyo kukusemea kwa mama yako? Naomba kuuliza tu wapendwa, maana sielewi ananitafuta nin huyu kiumbe!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sijala toka jana nilipohakikisha sijachaguliwa uhamiaji

    Hivi hzi nazo ni kazi za kukufanya ujutie kuzikosa kweli?
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hii inaweza ikawa ni sababu ya wapenzi kuachana kweli,au niendelee kubembeleza?

    poa kamanda.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inapendeza kuona unapendwa na mtu unayempenda

    Hongera zenu..maana ce wengine wapenzi tu wanatutoa knock out!
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hii inaweza ikawa ni sababu ya wapenzi kuachana kweli,au niendelee kubembeleza?

    Huyu binti ni kama simuelewi flani vile,mwaka jana mwezi wa 12 alinipa malalamiko yake kwamba anahc nimepunguza mapenzi kwake kwa sababu simwambii kama nampenda wala simwambii kama nammiss,nikamjibu nikamwambia kwamba mapenzi ya kweli hayapimwi kwa kuambiwa maneno hayo pekee but matendo ya mtu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya uchumi, natafuta kazi

    Umemalza chuo gani?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wametoa majina ya wakaguzi wasaidizi

    Niangalizien majina haya tafadhali,Damiani morris lukenza na chrispine mathias swai.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya Commerce, natafuta internship

    Wewe ni ke au me?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako anapokuambia hana hisia na wewe tena, anakua ana maana gani hasa?

    ok,i got you
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako anapokuambia hana hisia na wewe tena, anakua ana maana gani hasa?

    sawa,nimekuelewa mkuu.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako anapokuambia hana hisia na wewe tena, anakua ana maana gani hasa?

    kwa mujibu wa intelijensia yangu,hana mtu..nimemfanyia udukuzi wa kila aina,bt majibu ni kuwa hana mtu.
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako anapokuambia hana hisia na wewe tena, anakua ana maana gani hasa?

    ok,asante kwa ushauri mkuu,nitaufanyia kazi.
Back
Top Bottom