Recent content by Kibero

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Ukimpata huyo swahiba utujulishe!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    oilcom ni zote!kiboko niya pale ubungo,nenda na kigaloni uone!hawaku pimii mafuta hata ungezimikiwa mt.5 kutoka kwenye pump!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wapare na mila zao: Kuhifadhi mafuvu ya marehemu

    Tatizo sio kupenda kesi,Bali anaekuibia kuku leo,kesho atakuibia Mbuzi,akiona umet ulia atakuibia ngombe!hivyo akianza na kuku mkomeshe awe na adabu kwenye Mali zako zote!hio ndio maana yetu!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wapare na mila zao: Kuhifadhi mafuvu ya marehemu

    Kwani wewe ni kabila gani? Hebu tuambie usije ukawa'kizavonwa!
Back
Top Bottom