Recent content by Kibegero

  1. K

    JamiiForums Tanzania Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

    Upigaji mpya unanukia. Wabunge watakubaliana nao kwa 100%.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa huku Galilaya ya kale,Je, Trump kutoka upinzani angeshinda ?

    Hivi tangu kura kupigwa, imewachukua siku ngapi kutangaza matokeo, na kule Galilaya wanachukuaga siku ngapi na wao kutangaza matokeo ?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

    Kuhusu hii njama Ikulu inasemaje !
  4. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi

    Tuwekee tupicha twa hizo noti zitakazotolewa kwenye mzunguko, ili kama tunazo tujiandae kuzibadilisha.
Back
Top Bottom