Recent content by Kibee

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri kuhusu mgogoro wa kodi ya nyumba ya kupanga

    Asante Sana bro be blessd
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri kuhusu mgogoro wa kodi ya nyumba ya kupanga

    Habari za saa hizi Ndg zangu! Polen na majukumu, Samahani Sana Tena naombeni ushauri tu kwa anayeweza kunishauri. Nlipanga nyumba mwaka Jana mwezi wa 11 nikalipa kod ya miez 2 Mana niliomba nilipe hivyo ilipofika January mambo yakawa mabaya Maana nategemea utalii Corona imekuwa janga sijpata...
Back
Top Bottom