"Yanga SC hawako sawa, kuna sehemu ina shida binafsi sidhani shida ni Kocha wao. Nimejiuliza kama wachezaji wanapata nafasi namna hii na hawafungi Kocha unataka afanyaje?
Leo walikuwa na uwezo wa kuweka rekodi ya kushinda mabao mengi ugenini hatakama ugenini kwenyewe ingekuwa Madagascar ya...
Kuumia kwa key player ni miongoni mwa sababu za kupoteza mechi nitakupa mfano KIPINDI yupo kocha gamondi yanga ilipoteza dhidi ya tabora United kwa kumkoda Khalid aucho,ibrah baka.kwahy kocha manqoba akipewa mda ataonyesha uwezo wake
Game plan haiwezi kufaulu kila michezo ulitaka yanga acheze Kama anacheza na namungo wakati kwenye hiyo mechi ya Simba namba sita muhimili wa timu anaumia anaingia fredy ngoma ambaye Hana fitness nzuri na hajaclick na mfumo wa mwalim
Wadau, nimeliona hili kwa miezi 6 niliyopo Dodoma.
Zamani omba omba waliishia Dar, Arusha na Mwanza. Sasa Dodoma ndio inaongoza
1. Watoto wadogo na maboksi ya tissue
2. Wazee na fimbo mbele ya Benki na Masoko
3. Kinamama na watoto mgongoni kwenye traffic lights za Nyerere Road
HOJA YANGU...
Watuuuu wa sinzaaaaa dar es salaa ,chako ni chako ni chako,Dodoma ,mafinga kule mbeyaaaa kaloleni Arusha hatujawasahauuuuu na maeneo mengineeeeeeeeee Zanzibar jeee haya machimbo yapooooo
Unasikiliza KIPINDI GANI Cha michezo asubuhi sports arena au crown sport
Crew ya sport arena
Yusuph mkule
Dullah heavy weight
Day kasomba
Jackson msabaha
Brown chapakazi
Ricardo Mimi
Nasri khalfan
Crew ya crown sport
Paul mkai
Sarah sarakikya
**** Ayo
Jeska mhagama
Hansrafael
George magunga...
Ninafuraha sana leo kuona timu yetu ya Dodoma Jiji iko nafasi ya 4 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC!
Tumepanda kutoka nafasi ya 6 mpaka ya 4 baada ya ushindi mzito wa 3-0 dhidi ya Geita Gold juzi Bukombe.
Takwimu kwa haraka:
Mechi 8, Points 14, Magoli 8-5
Ushindi 4, Sare 2, Kupoteza 2
Tuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.