Recent content by kibacha

  1. K

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Acha maneno wewe ya hovyo hovyo wewe
  2. K

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Ni jambo jema kwa watu Mwanga kupata watu watakao ipeperusha Bendera ya Chadema kwa ushindani na siyo ushiriki.
  3. K

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Tunawakubali sana Mnyika na Lissu.. wewe endelea kupiga porojo za lumumba.. watu wanadai madai yao kule ubungo nyie mmejifungia kutunga hekaya za uongo.
  4. K

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Chadema ndiyo Chama kiongozi wa Taifa hili.... Mmeshindwa kuongoza kwakuwa mlizoea kutawala na siyo kuongoza.
  5. K

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Ulitegemea policcm wakuambie nini juu ya chadema? Hicho ni kitengo maalum cha mikakati kwaajili ya kuondoa upinzani ila umechelewa mkakati huwo....
  6. K

    CHADEMA wawaomba wana ukoo wa Mwl. Nyerere wasiwapokee ACT-Wazalendo

    Majibu kwa wasaliti nyumbani kwa Mwl.Nyerere
  7. K

    Media Kususia Habari za CHADEMA: Chanzo ni Mbowe!

    Toa ubeya hapa... bi chaubeya... Mwananchi wameandika na ndiyo ukweli... Hakuna kusogeza uchaguzi mbele uzembe wenu usiliangamize taifa na hatuta kubali ndiyo ukweli.. Kauli ya Mkt ni kauli yetu Chadema na Watanzania wote.
  8. K

    Paul Makonda awa lulu Kinondoni, wapinzani wake wabaki midomo wazi

    Acha kujidanganya na kujitekenya na kucheka mwenyewe....
  9. K

    Muswaada wa Baraza la vijana Taifa unaoletwa bungeni uondolewe

    Utaratibu uwekwe mzuri siyo huwo wa kuchaguliwa na waziri anayetokana na chama fulani. Tunapaswa kuwa na utaratibu mzuri na sahihi na siyo kuamuliwa mambo yetu na vyama.
  10. K

    GE2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    Yaani mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe halafu mnasema ni breaking newz wakati ni breaking uwizi wa macho.
  11. K

    Muswaada wa Baraza la vijana Taifa unaoletwa bungeni uondolewe

    Muswada huwo ukipelekwa na kupitishwa ukatakuwa ni kuendelea kushikilia mawazo ya vijana. Hakuna mahala ambapo vijana wamepewa mamlaka ya kuchagua kiongozi wao zaidi ya waziri kuwa mteuzi. Tunazikataa hizi nyadhifa zauteuzi tunataka kuchangua wenyewe.
  12. K

    Kumbe waliodanganya umri CCM wako wengi, Maghembe naye yupo

    Hahahahahaaa....Maghembe tutakuvua nguo mwaka huu hiyo ni moja.. unapambana na Kamanda Kilewo mtoto wa mjini tegemea mengi zaidi ya haya... Moto unaoenda kukutana nao siyo wa kitoto.
  13. K

    Professor Jumanne Maghembe 'awanunua' wanavyuo kujiokoa kisiasa jimboni Mwanga

    Mwanga tuliongozwa na mzigo muda mrefu na tulikuwa hatujampata mtu sahihi, Maghembe ameongoza jimbo hilo kwa udini na Ukanda hakuna kitu kilichokuwa kinamfanya kuwa madarakani zaidi ya hayo. Alisema mama yake ndiyo amezaa pekee na kututukana wapare wote, sasa amezaliwa kidume anayeheshimu...
  14. K

    Professor Jumanne Maghembe 'awanunua' wanavyuo kujiokoa kisiasa jimboni Mwanga

    Maghembe ni mzigo, kwasasa wanawahadaa watu eti kutoa maji kijiji cha njia panda kata ya kirya na kuleta maji. Wakati wakazi wa eneo hilo wananunua maji ndoo moja kwa kiasia cha sh 800 mpaka 1000 sasa huyu maghembe kama siyo ukichaa ni kitu gani??
  15. K

    Tumefika mwisho kuvumilia maovu ya jeshi la Polisi

    wapi polisi walipoogopwa? usitumie ma.sa.bu.ri kufikiri
Back
Top Bottom