Habari za leo wadau.
Ninahitaji kufungua Duka la vyombo vya Nyumbani. hivyo naomba kwa yeyote anaefahamu Maduka yanayo uza vyombo kwa Jumla kwa Dar es salaam anielekeze.
Ukinitajia na Mitaa ilipo hayo maduka itapendeza Zaidi.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.