Recent content by Kiambazi

  1. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    huyo huyo, na haikuisha wiki mbili Larked akapata majeraha
  2. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    ALI Salim mwaka jana mwezi wa sita alikuja kwa mganga mmoja huku Chang'ombe Maili kumi Tanga, tena akawa amevaa pama ili watu wasimjue. na huyo mganga ni kiboko sana kwa uchawi
  3. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

    Mhu! Unalo mzee baba
  4. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Dah! Stori yako inanifunza mengi sana, na kupitia story yako unanipa ujasiri wa kupambana na haya nayopitia kwenye maisha mpaka nitasimama imara
  5. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    tatizo hiyo pesa sina, na kuipata na kipengele
  6. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    anaitwa James Nyakia, kanisa lake linaitwa MEGA ONE, lipo Mwenge mpakani DAR
  7. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    yaani kama kwenye huu mkoa niliopo kuna radio inaanza matangazo yake kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa kumi na mbili asubuhi, yaani watu wengi sana wanateketea kwa huyu nabii
  8. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    tatizo simu yangu ni ndogo PM siwezi ingia kama hutojali nikuandikie namba ya simu tuwasiliane
  9. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    yaani ukimsikia anavyowatabiria watu wanaompigia simu kwenye redio wala hutojua kama ni nabii wa uongo
  10. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    ndiyo maana nikaomba ushauri kwanza, maana kuna wengi watasaidiwa
  11. Kiambazi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri, au mwenye ushuhuda kuhusu huyu NABII WA MUNGU wa kanisa la Mwenge mpakani (James Nyakia)

    Anadai kuwa yeye ana uwezo wa kukuona kuanzia ulivyokuwa tumboni kwa mama yako, na anafanya upereshen kwa kutumia viganja vya mikono yake
Back
Top Bottom