Hey what's up, ni kweli Arsenal ni chama kubwa na asiyekubali basi ni jeuri ila kuna hii timu inaitwa Man Utd kwa kweli hii ni zaidi maana inaongozwa na master wa find and replace hapa namkusudia Sir Alex Ferguson huyu ni mkali si mnona jinsi mapengo ya mastaa kama kina David Beckham na...
Jamani hawa watani wetu wa jadi wamemshindwa popo itakuwa mnyama Simba, mimi ninaona ni bora watugaie points zetu kabisa maana tutawafunga halafu wataleta habari za mganga kumtambua mchawi ni nani? Tchaoooooooooooo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.