Mlitegemea el angewaambia ni yeye binafsi ndo mhusika wa richmond.??? Miaka yote mlivyokuwa mnamuita fisadi mbona hamkuyasema ayo? Watanzaniia sio kama chapati.
Hivi wale wajamaa wa tmt hawakumuona mzee wa monduli.bila shaka hata yule denis angekosa ushindi mbele ya huyu mzee kwani ana kipaji kikubwa cha maigizo.
Leo ndo anajidai kupanda daladala eti kutambua kero ya usafiri.......miaka zaidi ya 30 aliyokuwa ndani ya siasa serikalini hakiyaona hayo?hapo ni kufanya maigizo ndugu lowasa.
Suala la laptop na milioni 50 ni propaganda tu za kumchafua magufuli...nape alishaliongelea ilo swala mbele ya waandishi wa habari pale dodoma.au wengine hamtambui hilo?
Mzee amtumia tafsida sana.anamsema lowasa kumwagia watu pesa mf. Waendesha bodaboda wanaohongwa pesa kwenye maandamano.kamwambia baregu kuwa ni vizuri kampokea lowasa kwani lowasa anataka utajiri na ameona hawezi kupata ndani ya ccm
Nakukubali sana lizabon unapojenga hoja.nashangaa sana vijana wa kitanzania kuwa washabiki wa uovu na kubaki kutukana ovyo.ivi kweli hawa ndo wanataka mtu wao aingie ikulu.taifa liongozwe na watu wasio na busara na hekima?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.