Recent content by khalifa kijangwa

  1. K

    JamiiForums tatizo la tumbo

    naombeni ushauri. Juu ya hili mimi nimpenzi wa mpila sana.nimewahi kupata ajali nyinginyingi za tumbo nikiwa mpila. Ila siku moja nilipigwa teke la tumbo . Nikaanza kupata tatizo la kuvimba usoni mara kwa mara. Tatizo ni nini apo
  2. K

    JamiiForums physics lazima katika unesi na udocta

    kwanini isiwe myaka yote iwe mwaka huu watu waliofeli sana
  3. K

    JamiiForums physics lazima katika unesi na udocta

    elimu ya tanzania kwa mwaka huu imeshuka kupita kiasi na wanafunzi wamefeli sana japo kuna malekebisho walofanya.lakini masomo ya sayansi hasa phisikia watu wamefeli sana. Ipi sababu ya health fund kusema physiksi lazima wakati wanajua watu wamefeli sana. Myaka yote hiyo ilikua physics/mathe...
  4. K

    JamiiForums muongozo wa elimu ya tanzania

    tutaendelea kua maskini wa elimu mpakalini?
  5. K

    JamiiForums muongozo wa elimu ya tanzania

    muongozo wa elimu ya tanzania ukoje ?. Je walimu wanawafundisha wanafunzi hasa kwa lengo gani. Pengine hii pia ni chazo cha kua na elimu duni
Back
Top Bottom