Recent content by Khalfan Omari Missima

  1. Khalfan Omari Missima

    JamiiForums Tanzania Nchi hii sasa kila kitu Zanzibar

    Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana. Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya upande mmoja wa muungano kuliko upande mwingine, kwa sasa ni jambo la kawaida kwa vyombo vyetu vikubwa...
  2. Khalfan Omari Missima

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na miradi ya Magufuli, yeye tutamkumbuka kwa lipi?

    Ni akili ya mwenda wazimu tu hatakama anavaa nguo Safi Kama wewe ndo anaeweza kusema ujinga huu dhidi ya Magufuli Rais wa kupigiwa mfano duniani.
Back
Top Bottom